Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika mikoko!
KONA YA JAMII
NEWS
GARI LADONDOKEWA NA BANGO KUBWA LA MATANGAZO JIJINI DAR,MASEREVA MUWE MAKINI MKIWA KARIBU NA MABANGO
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon