WITO KWA WAALIMU



Walimu wa shule za msingi na sekondari nchini watakiwa kurudisha elimu ya kujitegemea mashuleni ili kuwajengea wanafunzi mazingira ya kujitegemea kwa kufanya shughuli mbalimbali wawapo mashuleni au katika familia zao.



Previous
Next Post »