TAZAMA PICHA YA SHILOLE ENZI HIZO YUKO IGUNGA.

shishi
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani.

Hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika.
Previous
Next Post »