RAIS WA KENYA ASAINI SHERIA YA KURUHUSU WANAUME KUOA ZAIDI YA MKE MMOJA



Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewahalalishia wanaume wa Kenya kuoa wanawake wengi kadri wanavyoweza!

• Rais Uhuru leo ametia saini muswada uliopitishwa na bunge la kenya kuwa wanaume waoe wanawake wengi kadri iwezekanavyo kufuatia uwiano wa kijinsia ulivyotofauti na pia kudumisha mila za kiafrika!

• Ijapokuwa Muswada huo ulipata kupigiwa kelele na wanaharakati pamoja na watetezi wa haki za wanawake na pamoja na baadhi ya taasisi za Kikristo ila leo umekuwa sheria RASMI. 

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng