MSAMA APATA NAFUU


118_87850.jpg
27_58b41.jpg
Mkulugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya Jijini Dar es Salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismasi Bw Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajari ya Gari wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Dodoma anaendelea kupata nafuu akiwa hospitali ya taifa ya Muhimbili katika wodi ya Kibasila chumba namba 16.
Previous
Next Post »