Godzilla,Salama Jabir,Zitto Kabwe na Mastaa Kibao wakila ndizi ye banana kupinga alichofanyiwa mchezaji wa Barcelona.





Screen Shot 2014-04-30 at 6.02.00 PM 
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.

Screen Shot 2014-04-30 at 5.12.47 PM
Screen Shot 2014-04-30 at 1.50.14 PM

Previous
Next Post »