ALEX MSAMA APATA AJALI

Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.
Previous
Next Post »