AFYA KWANZA TENGENEZA AFYA YAKO KWA KUTUMIA BIDHAA HIZI UONE MAFANIKIO

Photo: Unahitaji bidhaa hizi tuwasiliane.0789884531

Je unajua FAB inakiwango kidogo sana cha calouries.Ni Aloe vera yenye vitamini na madini na husaidia kusafisha sumu mwilini .Inaongeza Longevity,Libido,kumbukumbu,kuondoa stress,kusaidia ubongo kufanya kazi vizuri,kuongeza nguvu,kuzuia maumivu ya kichwa kisiume,kurekebisha BP,na sukari mwilini,kulinda Ini,mafigo na moyo kifupi ni juice yenye faida nyingi sana katika mwili wa mwanadamu kama unahitaji tuwasiliane kwa namba 0789884531

Sabuni nzuri kabisa na aloe cleanser ambavyo vitakusaidia kuboresha ngozi yako kama unachunusi,kulainisha ngozi,kutakatisha sio kwa kuchubua na kukuacha ukiwa na ngozi nyororo.karibu wasiliana nami kwa 0789884531

Forever Bright Toothgel ni dawa ya meno isiyo na Fluoride na kwa udhibitisho wa dokta Burk kwamba fluoride ndio inayoleta vifo vya kansa kwa wingi.watu wengi tunatumia dawa za meno zenye fluoride jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu ukitaka kuamini soma vizuri kwenye lile box la dawa hizo wameandika onyo usimeze tema na sukutua vizuri wengi hatujui hilo.Anza leo matumizi ya dawa hii itakusaidia kutokwa harifu mbaya ,kuimarisha fizi,meno yasitoboke,huponya vidonda.fizi zisitoe damu,husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara na kung'arisha meno unahitaji tuwasiliane kwa 0789884531

Aloe vera Shield Deodorant huondoa harufu mbaya mwilini hufanya ngozi iwe laini na inadumu kwa muda mrefu kama unatatizo la kwapa kuwa nyeusi sababu ya kutumia deodorant zisizofaa kwa ngozi hii itakusaidia kuondoa weusi huo pia ikipakwa mwilini husaidia kufukuza mbu .unahitaji call 0789884531

Photo: KINYWAJI HIKI CHA ASILI KINASAIDIA KUONDOA SUMU MWILINI,KUSAFISHA NA KUSAIDIA MMENG'ENYO WA CHAKULA,KUONDOA VIMBE,KUPONYA VIDONDA NA KUSAIDIA UPONYAJI  WA MARADHI KAMA ARTHRITIS,PRESSURE,KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,KUKUONGEZEA NGUVU,KUPUNGUZA ALEJI MWILINI NA MENGINE MENGI.KAMA UNAHITAJI JUICE HII WASILIANA KWA NAMBA 0789884531.

Je unafahamu maradhi mengi husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu? Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako?
kutoa sumu za chemicals,
soda,sigara,
Juice za box(artificial juice),
pombe (alcohol) na mengineyo?

Jaribu kufikiria je unapata choo kilaini?Na je unapata kila siku?
Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi kama kuumwa kichwa muda mrefu,kansa ya utumbo na mara nyingine uti wa mgongo unaweza kuoza.

Juice yetu ya Aloe vera gel ni juice ambayo inatoa sumu mwilini(detoxification),inaongeza kinga ya mwili,inasaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ili kusaidia kwa wale wasiopata choo(constipation),pia husaidia kwa maradhi kama,presha,kisukari,vidonda vya tumbo na aleji lakini pia ni Anti-aging.

Kwa maelezo zaidi au kujipatia juice yako wasiliana nami kujipatia juice yako.

0789884531

Photo: Je una tatizo la kukosa au kuchelewa kupata usingizi??

Ukosefu wa usingizi huchangia kuumwa kichwa mfululizo,kuwa mchomvu muda wote na kushindwa ku"concentrate" katika jambo moja kwa muda.

Majani yetu ya chai hayana caffeine hupumzisha mwili na kuboresha usingizi.
Yana harufu nzuri yakichanganywa na asali yetu ya nyuki wadogo.

Aloe Heat Lotion ina uwezo wa kupenya kwenye ngozi,kusaidia kuondoa msongo wa mawazo,maumivu ya kichwa,kusaidia upumuaji mzuri (husaidia kwa wenye athma pia) na pia huleta usingizi mzuri.
Nzuri kwa watoto na watu wazima hasa kwa wanamichezo na wafanya mazoezi.

Royal Jelly ni kirutubisho chenye vitamin A,C,D,E,B5 na B complex ambayo ukosefu wake husababisha uchovu,kichwa kuuma,insulin kupungua,kukosa usingizi.
Royal jelly huboresha pia muonekano wa ngozi. Call 0789884531

Je una tatizo la kukosa au kuchelewa kupata usingizi??

Previous
Next Post »