Tweet ya Januari Makamba baada ya warioba kuhutubia bunge




Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuhutubia Bunge hii leo…Januari Makamba ambeye ni mjumbe wa bunge hilo la katiba, kupitia ukurasa wake wa twitter kaandika hivi:

Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.

Previous
Next Post »