Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama.Paul na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa na watu kama Omotola,D Banj,Naeto C,Banky W,Ini Edo,Iyanya na wengine wengi
EmoticonEmoticon