KUNA UKWELI WOWOTE KWA HIKI ALICHOKISEMA LINEX WA LINENGA SOMA HAPA



STAA wa bongo flava Sunday Mangu ‘’Linex Sunday Mjeda’’ amewalaumu maproducer wasiokuwa na majina makubwa kuwa ndio wanao ongoza kwa kuvujisha ngoma za wasanii wenye majina ambao huwa wanafanya kazi na ma producer hao kiroho safi.
Previous
Next Post »