DIAMOND AKIWA KWENYE NDEGE KUELEKEA NIGERIA LAGOS


Kushoto na presidaa the diamond platnumz they use to call him sukari ya warembo, akiwa na babutale wakiwa kwenye ndege wakielekea nchini nigeria lagos kwa ajili ya msanii diamond kwenda kufanya ngoma yake mpya, guys tukae mkao wa kula for the coming new music and video of diamond the platnumz, na pia tuwatakie safari njema na warudi salama amin
Previous
Next Post »