BREAKING NEWS !!! WAMILIKI WA DALADALA WAFANYA MGOMO MOROGORO.KIMENUKA MOROGORO
















Wamiliki wa daladala Manispaa ya Morogoro wamesikitisha kutoa huduma ya usafirishaji abiria ndani na Manispaa kwa kile kinachodaiwa kutozwa faini kubwa na askari wa uslama barabarani pindi magari hayo yanapokamatwa kwa makosa mbalimbali ambapo kwa wiki hudai hukamatwa mara mbili mpaka tatu huku kiwango cha faini hiyo kikitajwa kuwa ni kati ya sh30,000 hadi sh120,000 ikiwa kosa moja ni sh30,000.

Pichani ni baadhi ya wakazi wa Morogoro ambao leo asubuhi walilazimika kutumia usafiri wa vyombo visivyo rasmi kusafirisha abiria, ili kuwahi makazini


SOURCE:JUKWAA HURU  MEDIA PAGE 


Previous
Next Post »