ZAMARADI,GEA HABIB KUWA MAJAJI FAINALI YA KIGOLI JUMAPILI HII,BIZZINESS PARK,KIJITONYAMA

WATANGAZAJI wa Clouds FM,Zamaradi Mketema na Gea Habib wantarajia kuwa majaji katika fainali ya shindano la kigoli zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii,Des.8 katika ukumbi wa Bizzines Parck,Kijitonyama,Dar ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia mkoko aina ya Nissan March, wenye thamani ya shs.million 8.
Akizungumza na mtandao wa Cloudsfm Mwandaaji wa shindano hilo Maimartha Jesse alisema kuwa bendi tatu zitaangusha burudani ambazo ni Sky Light Band,Mapacha Watatu na Extra Bongo kwa kiingilio cha shilingi 10,000.na kuwataka mashabiki kufika kwa wingi.

SOURCE:

CLOUDS FM

Previous
Next Post »