Dawa hizo zimekutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na wana usalama kisha kufanyiwa X-ray ambapo baada ya kufanyiwa X-ray alikutwa na jumla ya vidonge 66 vikiwa na thamani ya dola za kimarekani 137,72.
Msichana huyu aliliambia Jeshi la Polisi nchini China kwamba alikua akisafiri kuelekea Guangzhou ambao ni mji ulio chini ya jimbo la Guangdong huko China,Inasemekana Msichana huyu amewahi kushiriki video mbalimbali ikiwa ni pamoja na video ya Nataka kulewa ya Diamond.
Hii ni picha imepigwa akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari huko Macao.
Nchi ya Tanzania imeingia tena kwenye headline kuhusiana na suala
la Madawa ya kulevya baada ya kukamatwa tena kwa Mtanzania mwingine
akisafirisha Madawa hayo toka Thailand kuelekea Macao nchini China jumanne
iliyopita.
Mtanzania huyo ni msichana ana jumla ya umri wa miaka 28
inasemekana ni Jackie Clief alikamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya
Heroin huko Macao nchini China
Dawa hizo zimekutwa tumboni
mwake baada ya kushtukiwa na wana usalama kisha kufanyiwa X-ray ambapo baada ya
kufanyiwa X-ray alikutwa na jumla ya vidonge 66 vikiwa na thamani ya dola za
kimarekani 137,72.
EmoticonEmoticon