BREAKING NEWZ :Wahamiaji haramu wanaodhaniwa kutokea nchini Somalia wamekamatwa katika barabara ya Morogoro-Iringa wakiwa wanasafirishwa kwenye lori lililobeba shehena ya mzigo wa chokaa na hali zao ni mbaya kwa sasa kutokana na kuathiriwa na chokaa hiyo mpaka sasa ambulance ya polisi inapeleka wahamiaji hao katika hospitali ya mkoa na inasemekana imegundulika baada ya mmoja wa wahamiaji hao kuanguka akiwa amepoteza fahamu eneo la kuoshea magari ambapo lori hilo lilikuwa linasafishwa kwa habari zaidi endelea kufuatilia blog hii

Previous
Next Post »