Wamarekani waadhimisha mwaka wa 12 tangu shambulio la Sept 11


9-11-september-11-2001-32144952-640-427

Leo Wamarekani wanaadhimisha mwaka wa 12 tangu yalipotokea mashambulio katika majengo pacha ya Kituo cha Biashara duniani, World Trade Centre (WTO) na kuua maelfu ya raia wasio na hatia katika moja historia mbaya na chungu katika taifa hilo lenye nguvu duniani.
Baada ya mashambulio ya September 11 wamarekani wakiongozwa na Rais wao wa zamani George Walker Bush waliamua kuweka siku hii kuwa ya kumbukumbu ya mashambulio ya kigaidi yaliyotokea nchini mwao.
Wapenda amani kote duniani wanawatakia maadhimisho mema wamarekani wote kwenye siku hii adhimu kwao.
106
 
Previous
Next Post »