SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI YA SENSA YAFANYIKA JANA JIJINI DAR E SALAAM




 Afisa Habari Mkuu wa Serikali, Said Amira,ambaye ni mwezeshaji katika semina ya waandishi wa habari kuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na  Jinsiakionesha  gazeti  lilivyoripoti takwimu za sensa kwa waandishi wa habari kwenye iliyofanyika  hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
 Afisa Habari Mkuu wa Serikali, Said Amir,ambaye ni mwezeshaji katika semina ya waandishi wa habari  akifafanua jambo kuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi  kwa waandishi wa habari  kwenye semina iliyofanyika  kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Afisa Habari Mkuu wa Serikali, Said Amira,ambaye ni  mwezeshaji katika semina ya waandishi wa habari  akifafanua jambo kuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi  kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika  kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam
Mtaalamu wa Teknolijia ya Habari(TEHAMA) Bakar Rombo  Omar  akielezea jinsi kutumia mtandao kwa  ajili  kupata takwimu sahihi kwa waandishi wa habari leo katika semina ya waandishi wa habari.kuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi  kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika  kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Mratibu wa Sensa  wa Zanzibar Mayasa Mahfoud akifafanua jambo leo katika semina ya waandishi wa habarikuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi  kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika  kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Mratibu wa Sensa  wa Zanzibar Mayasa Mahfoud akifafanua jambo leo  katika semina ya waandishi wa habari kuhusu  namna bora ya kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi  kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika  kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Previous
Next Post »