Kutoka lindi ajali hii imetokea eneo la nyamwage mkoani lindi leo wakati basi hili likitokea Dar es salaam kuelekea Lindi inasemekana abiria mmoja amepoteza maisha lakini bado taarifa kamili kuhusu ajali hiyo haijatolewa kwa hiyo endelea kufuatilia blog hii kwa taarifa zaidi
EmoticonEmoticon