Naibu
Meya wa Jiji la Xiamen nchini China Mr. Kang Tao akibadilishana mawazo
na Balozi mdogo wa China Madam Chen Qiman mara baada ya kuwasili uwanja
wa ndege wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuja kuangalia fursa za
uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar
EmoticonEmoticon