Dawa za
kulevya aina ya ‘Methamphetamines’ zenye ladha ya chocolate na strawberry
zatengenezwa kuwavutia watoto Thailand! By Sandu George on August 27, 2013
(2 hours ago)
Hali ya biashara inayoendelea
kupigwa vita duniani kote ya dawa za kulevya inazidi kutisha baada ya watengenezaji
wa dawa hizo kubuni mbinu mpya ya kutengeneza dawa za ‘Methamphetamines’ zenye
ladha ya chocolate na strawberry kwaajili ya kuvutia soko la watoto wadogo huko
Thailand.
Director wa ‘The Princess Mother
National Institute for Drug Abuse Treatment’ ya Thailand, Viroj
Verachai,amesema wamegundua kuwa watengenezaji wa ‘yaba’ wanajaribu kubadilisha
bidhaa yao ili kukidhi soko la kundi lililolengwa (watoto).
Wanaharakati wa kampeni ya kupambana
na dawa za kulevya nchini humo wamewaonya wazazi juu ya mkakati wa mbinu hiyo
mpya ya wafanyabiashara ya dawa za kulevya ‘Methamphetamines’ ambazo pia ni
maarufu kama ‘Yaba’ nchini Thailand, kwa mujibu wa mitandao
Director wa ‘The Princess Mother National Institute for Drug Abuse Treatment’ ya Thailand, Viroj Verachai,amesema wamegundua kuwa watengenezaji wa ‘yaba’ wanajaribu kubadilisha bidhaa yao ili kukidhi soko la kundi lililolengwa (watoto).
Wanaharakati wa kampeni ya kupambana na dawa za kulevya nchini humo wamewaonya wazazi juu ya mkakati wa mbinu hiyo mpya ya wafanyabiashara ya dawa za kulevya ‘Methamphetamines’ ambazo pia ni maarufu kama ‘Yaba’ nchini Thailand, kwa mujibu wa mitandao
EmoticonEmoticon