MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood Aunty Ezekiel imeripotiwa kupata majeraha katika mkono wake wa
kushoto baada ya kuchimbwa na chupa yenye ncha kali, sakata hilo la hatari lilitokea katika Club ya Billicanas wakati wa show iliyokifanyika hapo chini ya Madam Wema Sepetu chanzo chetu kimetuhabarisha.
Chanzo cha ugomvi hadi leo bado kitendawili baada ya kutoka fununu kuwa uenda ugomvi huo unahusishwa na kumgombea bwana yaani mwanaume ambaye waliwahi kumgombea siku za nyuma lakini kupigana kidogo ambapo mmoja alitoka nduki na kuacha msala ukitulia.
FC inafuatilia tukio hilo kwa ukaribu kisha tutakujuza kulikoni hadi nyota wetu kutaka kuharibiwa show yake ambayo ndio inapa ajira katika uigizaji, tunampa pole kwa majeraha yaliyompata , huku tukisubiri atusimulie sakata leo hakuwa tayari kupokea simu yetu.
EmoticonEmoticon