Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Bi Vedastina Justinian akiongea na waandishi wa habari kuhusu
hatua iliyofikiwa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
katika majadiliano ya kuanzisha umoja wa fedha. katikati ni Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari Bi. zamaradi Kawawa,kulia niMchumi mwandamizi
wa Wizara ya hiyo Bw. Emmanuel Mbwambo.
EmoticonEmoticon