Wananchi wenye hasira kali wabomoa nyumba ya mtuhumiwa wa ubakaji, iringa

kiwere ubakaji 099 c3b86
Mabaki ya nyumba ya Chesco Mbwilo baada ya kubomolewa na wananchi wenye hasira katika kijiji cha Kiwere kufuatia mtuhumiwa wa ubakaji ambaye ni mmiliki wa nyumba hiyo kuachiwa kwa dhamana mahakamani na kurudi kijijini. (HM)

kiwere ubakaji 091 a35c6
Mabaki ya mkokoteki wa kusukumwa na punda yakiwa yanaaendelea kuteketea baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira kali kufuatia mtuhumiwa wa ubakaji, Chesco Mbwilo kuachiwa kwa dhamana Mahakamani na kurudi kijijini Kiwere wilayani Iringa.
Previous
Next Post »