DKT. BILAL AFANYA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAFI


2 a4099

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akitembelea kukagua shughuli za usafi wa mazingira katika Kituo cha Mabasi cha Amani Mbagala Zakhiem, alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam
7 141b0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Mtaro wa maji machafu uliopo Mayfear Plaza Mikocheni
Previous
Next Post »