PICHA ZA MASANJA MKANDAMIZAJI NA SHILOLE WAKIWA WASHINGTON DC MAREKANI KWA RAHA ZAO

        

    
Muigizaji/Mchekeshaji MASANJA Mkandamizaji pamoja na star wa filamu za kitanzania “Bongo Movies” akiwa anafanya muziki pia, SHILOLE wapi nchini Marekani kwa ziara yao ya kazi za sanaa …
Ma-star hawa wawili wana siku chache tu toka wafike huko na hizi ni baadhi ya picha zinazowaonesha wakiwa jijini Washington DC, zitazame hapa chini ;
Masanja1
 
Masanja2
Masanja
Masanja4
Masanja5
masa
 
Previous
Next Post »