MSANII WA MUZIKI ABDUL JAGGAR MAARUFU KAMA JAGGAR KUACHIA SINGLE YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA SOME DAYZ


  • Jaggar yuko mbioni  kureleaze project yake mpya Nyimbo inaitwa some dayz-jaggar ft bupe imefanyika mahewa records chini ya producer wille Jaggar  ambaye ni msanii wa kufokafoka maarufu kama hip hop ameshawahi kutoa nyimbo ya Sauti zetu mwaka jana ambayo alimshirikisha Bell 9 na ilifanya poa na sasa baada ya kumaliza masomo yake anatarajia kuachia ngoma mpya  ya some dayz ambayo kamshirikisha mwimbaji wa injili Bupe tumpe sappot kijana wetu.Tunakutakia kila la kheri Jagger
Previous
Next Post »