Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa
jina lake na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa
akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa leo na kuchezea
kichapo .
Diwani
huyo mpenda ngono anadaiwa kufumaniwa akiwa katika nyumba ya mpiga
kura wake huyo katika kata moja ya wilaya ya Iringa Vijijini na
ni diwani anayetokea katika wilaya ya Iringa mkoa wa Iringa na ni
diwani mtanashati kweli kweli.
Mashuhuda
wa tukio hilo wameudokeza mtandao huu wa
www.francisgodwin.blogspot.com kuwa kutokana na fumanizi hilo la
mwaka wapiga kura wake wanaoishi jirani na nyumba hiyo ambayo
mheshimiwa alifunaniwa waliizunguka nyumba hiyo na kuanza kumshikisha
adabu mheshimiwa huyo.
Baada
ya mheshimiwa huyo kuchezea kipigo kutoka kwa njema lenye mke huyo
pamoja na wananchi alilazimika kutoka mbio na kukimbilia porini kabla
ya kwenda kupatiwa matibabu katika moja kati ya zahanati mbili
zilizopo katika eneo hilo ikiwemo ya Misheni na ile ya Kijiji .
Pichani ni moja kati ya picha ya fumanizi ambayo inafanana na fumanizi hili la diwani japo hainamahusiano na tukio hili
Source:Iringa yetu.
EmoticonEmoticon