WAKAZI WA MLANDIZI WALIOJITOKEZA BARABARANI KUSUBIRI WAKATI MWILI WA MAREHEMU NGWEA UKIPITA KUELEKEA MORO


Photo by millardayo
 
Hapa ni Miembe 7 karibu na Mlandizi Pwani, hawa ni baadhi ya mashabiki wa Marehemu NGwea waliojitokeza barabarani,  wako hapa sababu ya kusubiri kuuaga mwili wa Marehemu ukipita kwenda Morogoro.
Previous
Next Post »