TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI


 

“PRESS RELEASE” TAREHE 27. 06. 2013.



WILAYA YA MOMBA - MAUAJI.

 

MNAMO TAREHE 26.06.2013 MAJIRA YA SAA 12:30HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA SAMANG’OMBE WILAYA YA MOMBA MKOA WA MBEYA. PATRICK S/O YOHANA,MIAKA 30,MNYAMWANGA, MKULIMA MKAZI WA KIJIJI CHA SAMANG’OMBE ALIUAWA KWA KUCHOMWA KISU UBAVU WA KULIA NA LIVINGSTONE S/O MULYATETE @ MBASA,MIAKA 42,MKULIMA,MNDALI MKAZI WA KIJIJI CHA SAMANG’OMBE. CHANZO NI UGOMVI ULIOTOKEA KATI YA MAREHEMU NA MTUHUMIWA BAADA YA MAREHEMU KUMTANIA/KUMKEJELI MTUHUMIWA KUWA AMENUNUA PIKIPIKI MBOVU. TARATIBU ZINAFANYWA ILI AFIKISHWE MAHAKAMANI. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI  BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO KWA JAMII KUDHIBITI HASIRA ZAO ILI KUEPUSHA MADHARA YANAYOWEZA KUJITOKEZA.

 

 

 

Signed By,

[BARAKAEL MASAKI   - ACP]

Kny;KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

 

 
Previous
Next Post »