Shilole aalikwa kwenda kupiga shoo marekani. Kuondoka hivi karibuni

 

Shilole aalikwa kwenda kupiga shoo marekani. Kuondoka hivi karibuni
Mwigizaji na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Zena Mohamedi ama Shilole amepata mwaliko wa kwenda nchini Marekani kufanya shoo za mziki hivi karibuni.
Akizungumza na mwandishi wetu tokea ukumbi wa blue pearl wakati wa tuzo za filamu nchini Shilole amesema kuwa yupo kwenye maandalizi ya mwisho kwa ajili ya shoo hiyo ambayo anatarajiwa kuifanya kwenye miji miwili nchini humo
Previous
Next Post »