MTU MWENYE UNYAYO MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Brahim Takioullah, anapopita barabarani watu hugeuza shingo zao na kubaki wakiushangaa urefu wake, wengine humuuliza wewe ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani? jibu huwa ni hapana lakini anashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na miguu mikubwa kuliko watu wote duniani

 

 

Previous
Next Post »