AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI NA WATU WANNE WAHOFIWA KUFA HAAPO HAPO.SHUHUDIA

 


 GARI LA ABIRIA AINA YA HIACE IKIWA IMEGONGANA USO KWA USO NA GARI AINA YA LAND CRUISER

 


HIZI NI BAADHI YA MAITI ZILIZO OKOLEWA PUNDE BAADA YA AJALI KUTOKEA 

 


HIVI NDIVYO DALADALA HII ILIVYO HARIBIKA BAADA YA AJALI HIYO KUTOKEA 


 


 

 


DALADALA IKIWA IMEUMIA VIBAYA 


 


 


HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA 


 


 



 



WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA AJALI HIYO


 

 

 

 

TINGO WA DALADALA AKIWAANASHUSHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA

 

 


 


 

TINGO WA DALADA\LA AKIWA ANAPELEKWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA

 

 


 

 

 

 

 

MMOJA WA ABIRIA AKIKIMBIZWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA

 

 

 

MWILI WA DEREVA WA DALADALA ALIYE FARIKI PAPO HAPO UKIPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA


 

Picha na Michael 


 

Mbeya Yetu Blog

Previous
Next Post »