VIDEO:Taarifa ya Habari Kutoka ITV:Zaidi ya wananchi 1500 ambao ni wakulima wa mpunga katika kata ya Itulo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya mwaka huu watashindwa mahali pa kuhifadhi mazao yao katika mfumo wa stakabadhi gharani baada ya uongozi wa kijiji cha Itulo kutumia nguvu kuhujumu ghala la wananchi na kumpangisha mtu mmoja kwa manufaa yao binafsi.



Previous
Next Post »