HUYU NI ANNA SAIMON MIAKA 8 NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IKUTI DARASA LA TATU AKIWA AMEBEBA TOFARI MBILI ZINAZOKADIRIWA KUWA NA UZITO WA KILO 10 |
WATOTO HAWA TULIPOWAULIZA KWANINI MNABEBA TOFARI HIZI MUDA WA KUWA SHULE WALITUJIBU KUWA TUNATAFUTA HELA ZA DAFTARI KWANI WAZAZI WETU HAWANA UWEZO WA KUTUNUNULIA |
WATOTO HAWA TULIWAFUATILIA AMBAPO WALITEMBEA KWA UMBALI WA MITA 500 KUZIFIKISHA TOFARI HIZO HUKU JUA KALI LIKIWAWAKIA NA BILA YA KUWA NA VIATU MIGUUNI MAJIRA YA SAA 7 MCHANA WENZAO WAKIWA MADARASANI |
MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 AKILIA BAADA YA KUELEMEWA NA UZITO WA TOFARI ALIZOBEBA KWANI AKIZIVUNJA TU HAWEZI LIPWA PESA YAKE JAMANI INAUMA SANA WAHUSIKA MPO WAPI? JUU YA SWALA HILI LA AJIRA KWA WATOTO |
KUSHOTO NI FREDRICK SIMON MIAKA 12 AKIMSIHII COLNSY ASILIE KUWA SASA ANAKARIBIA KUFIKA |
BINTI HUYU AMETOKA KUCHOTA MAJI MTO NZOVWE |
EmoticonEmoticon