DAKTARI WA MACHO KITUO CHA AFYA SABASABA AJINYONGA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI MOROGORO.


Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakiangalia mwili wa marehemu Dk Anold Limo ambaye alikuwa daktari wa macho ukiwa chumba cha kuhifa
dhia maiti baada ya kudaiwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni ya Camel iliyopo Nkomola Kihonda usiku wa kumkia leo Manispaa ya Morogoro. 

Sehemu ya wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakijadili jambo nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro
source:Juma Mtanda
Previous
Next Post »