VIBAKA WAVAMIA DUKA NA KUMKATA VIDOLE MUUZAJI

   
 


Hii imetokea huko Chadderton katika jiji la manchester,vibaka hao ambao walikuwa wameeva viziba uso (mask) walivamia duka hilo wakiwa na mapanga.Wakati muuzaji huyo akijitetea kuzuia panga lililorushwa na mmoja wa vibaka hao ndio lilipomfikia katika mkono wake na kukata moja ya kidole cha mkono wake.
Muuza duka huyo bado anaendelea na matibabu katka hospital ya Coalshaw Green Road
Hizi ni baadhi ya picha zilizochukuliwa kupitia kamera za cctv katika duka hilo
 
Previous
Next Post »