UTABIRI WA HALI YA HEWA IJUMAA APRIL 12 UKIWA NA ANGALIZO

 

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 12/04/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Morogoro]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwana Iringa]:
[Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara , Singida, Kigoma ,Tabora, Mwanza, Musoma na Kagera.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
1836
D'SALAAM
32°C
1823
DODOMA
28°C
1837
KIGOMA
30°C
1902
MBEYA
27°C
1845
MWANZA
28°C
1850
TABORA
29°C
1850
TANGA
33°C
1825
ZANZIBAR
31°C
1823
PEMBA
32°C
1825
MOROGORO
31°C
1832
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi yakm 40 kwa saa;kutoka Kusini kwa ukanda wote wa pwani.
Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi 12/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Previous
Next Post »