TAZAMA PICHA ZA WASANII WA FILAMU KUTOKA GHANA WALIOKUJA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA




Leo asubuhi kwenye kanisa la KKKT Kimara Temboni kumefanyika misa ya kumuombea marehemu Steven Kanumba ikiwa ni moja ya ratiba ya siku nzima ya leo. Misa hiyo ilihudhuriwa na wadau wengi wa movie kama Lulu,Johari,Ray,JB,Dr Cheni,Kupa,Mchompanga,Irene Uwoya na wengine wengi kama unavyoona kwenye picha. Pia alihudhuria internatioanal manager wa marehemu Kanumba pamoja waigizaji wawili kutoka Ghana ambao walikuwa marafiki wakubwa wa Steven Kanumba.






Previous
Next Post »