P DIDY DENDA HADHARANI NA MWANAMITINDO UPTON KATE

P DIDY DENDA HADHARANI NA MWANAMITINDO UPTON KATE

RAPA P Diddy na mwanamitindo  Upton Kate wamebambwa wakilana denda katika kiwanja cha maraha cha Club LIV huko Miami Beach Marekani.
Gazeti moja la Marekani limedai kuwa wawili hao walikutwa ‘wakifanya yao’ bila kificho, ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu mwanamitindo huyo atangaze kuwa yupo ‘singo’.
Sports Illustrated liliripoti kwamba mwanamitindo huyo alimwagana na Justin Verlander - nyota wa baseball wa timu ya Detroit Tigers katika Siku ya Wapendanao
Previous
Next Post »