WAFANYAKAZI WA VODACOM WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWEAKE DUNIANI LEO...!!!


Mama Victor ambae ni mtoa mada wa siku hii ya wanawake duniani akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.



Dr.Mweta katoa poz balaaaa wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania utamtaka!
Mambo ya kukata viunoooooo
Majadiliano ya hapa na pale wakati wa sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.

Wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakibadilishana mawazo wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
Mamaaaa weweee!Siku ya ukweli ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.

Baadhi ya wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakiwa kwenye pozi wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
What can I say?Msosi muhimu
Mvua haizuii sherehe yetu ya wanawake duniani tumo tu...
Poz to Pozzzzzz wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kujichana nako muhimu,baba nae yumo Mwakifulefule ndani ya sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kata cake tuleeeeee kata cake tuleeeeeeeeeee!walisikika wakina mama wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
Previous
Next Post »