ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT), Dkt. Alex Malasusa akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini
Makumira tawi la Mbeya
|
Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo |
U
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde
Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi
wa tawi hilo
|
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira Uyole mbeya |
Kwaya mbali mbali zilitumbuiza katika uzinduzi huo |
Mara baada ya ibada Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni waalikwa |
Mkuu wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa Mbeya |
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro |
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini makumira |
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akipanda mti kama ishara ya utunzaji wa mazingira |
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimwagilia alioupanda kwa ajili ya utunzaji wa mazingira chuoni hapo |
Hili ni jengo la utawala chuoni hapo |
picha na Mbeya yetu |
EmoticonEmoticon