TAARIFA ZA NICKI MINAJ KUHUSU KUJITOA KAMA JUDGE WA AMERICAN IDOL.


Zimeibuka Taarifa kuwa Msanii Wa Young Money Nicki Minaj Amejitoa Kama Judge Wa America Idol Kwa Mwaka Huu. Well Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amekata Kuthibitisha Taarifa za Kuendelea Kuwa Judge kwenye mashindano ya Vipaji Yanayofanyika Kila Mwaka Maarufu Kama "American Idol" sababu muda wa kujibu swali hilo sio huu. Kwenye Mahojiano Na MTV Nicki amesema kwa sasa acha akae kimya mpaka atakapo pewa ruhusu na waendeshaji wa mashindano hayo ndio atafunguka na kuongezea kuwa nitamaduni ya American Idol Judges kuwa siri mpaka mashindano Yakianza.
Fahamu Mwaka Huu Wanakaribishwa Tena Judge Mariah Carey Na Keith Urban .

Previous
Next Post »