Mwanafunzi kidato cha 6 afariki baada ya kutumbukia chooni

YUNUS KAJITI [21] aliyekuwa wmanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Sengerema , mkoani Mwanza, amefariki baada ya kutumbukia ndani ya tundu la choo wakati akijisaidia
Tukio hilo lilitokea jana majira ya alfajiri akiwa shuleni hapo

MWanafunzi huyo aliyedaiwa kuchukua masomo ya sayansi shuleni hapo aliingia chooni humo kwa lengo la kujisaidia ambapo kulkuwa bado hakujapambazuka ndipo alitumbukia kwenye tundu hilo ambalo lilidaiwa lilikuwa kwa ajili ya matengenezo

Hata hivo juhudi zilizofanwya na wenzake shuleni hapo hazikuzaa matunda na aliweza kufariki dunia na kuleta simanzi kubwa shuleni hapo na kwa watanzania
Previous
Next Post »