KAMA WEWE NI MSHABIKI WA EVE, HII INAKUHUSU


Rapa wa kitambo kwenye game ya Hip Hop, Mwanadada Eve, ametangaza tarehe rasmi ambayo atafanya ujio wake mkubwa kwa kuachia album yake ambayo itakuwa ni ya nne katika Historia yake ya muziki.
Album hii itakwenda kwa jina Lip Lock na inatoka ikiwa ni baada ya miaka 11 ya ku-lay low, na kwa mujibu wa taarifa, Tarehe 11 mwezi May ndiyo tarehe ambayo kazi hii itaachiwa rasmi.

Vichwa kama vile Snoop Lion, Juicy J, Christine Michelevinatarajiwa kuhusika karika albam hii wakati kwa upande wa production, Swizz Beats, producer Claude Kelly na wengine wakali watakuwa na mikono yao ndani.

Eve pia ameweka wazi Cover art ya album hii na mzigo mzima utakuwa unaonekana hivi;
Previous
Next Post »