BAS LA SAI BABA LAMGONGA MTU NA KUFARIKI HAPOHAPO HUKO SONGEA LEO ASUBUHI

 

Hili ndio Bus lililogonga lenye namba za usajili T 690 BUW
 
Hawa ni abilia wakieleza namna ya ajali ilivotokea leo maeneo ya kwa Mburushi
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Deusdedit Nsimeki alie vua kofia akiwa katika eneo la tukio maeneo ya kwa Mburushi
Hii ndio pikipiki ya marehemu Steven Adam (62) yenye namba za usajili T 618 ATX
Umati wa wasafiri wakiwemo wapita njia wakiangalia ajali hiyo mbayailiyotokea leo majira ya saa moja asubuhi,
 
Bus la Kampuni ya SAI – BABA EXPLESS lenye namba ya usajili T 690 BUW likiwa safarini kuelekea Dar Es Salaam likitokea Songea limepata ajali leo majira ya saa moja na nusu asubuhi maeneo ya kwa Mburushi mjini songea.
Bus hilo limemgonga Dereva wa pikipiki (yeboyebo) ambaya ni mkazi wa Liumbu Mletele aliejulikana kwa jina la Bw. Steven Adam (62) mfanya biashara ya maziwa .
Marehem Steven alikuwa akielekea mjini kupeleka maziwa yake kwa wateja ndipo alipotwa na mahuti hayo. Kwa maelezo ya wasafiri wamesema mwenye makosa ni dereva Pikipiki ambaye hakuwa makini barabari kwa kuendesha vibaya na kwamwendo kasi pasipo kuzingatia sheria za barabarani
Previous
Next Post »