BAADA YA HUKUMU YA KAJALA, WEMA ATOA MILIONI 13 ZILIZOTAKIWA KUMTOA KAJALA


Baada ya Mahakama Kumuhukumu Kajala kwenda Jela Miaka Minane ama faini ya Shiling Milion 13, Baada ya hukumu hiyo Msanii mwenzake Ajulikanae kama Wema Sepetu Amekimbia Bank ili kutoa hizo hela za kumlipia Fine Kajala aweze kuachiwa Huru ..Big Wema Sepetu ...

Habari hii haijawa comfirmed, lakini tutawajulisha baada ya Wema mwenyewe kuongea.

Source : Udakuspecially.com
Previous
Next Post »