WAZIRI WA UCHUKUZI DK. MWAKYEMBE AZINDUA BODI YA TRL

 

trl1















Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe(katikati) akizindua rasmi Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) . Dkt. Mwakyembe amezindua Bodi hiyo leo jijini Dar es salaam ambapo ameitaka kuhakikisha inasaidia kuimarisha reli ili mizigo mingi inayokwenda ndani na nje ya nchi isafirishwe kwa njia ya reli ili kuokoa barabara.
Previous
Next Post »