Miley cyrus: Hana mpango wa kurudi katika nywele ndefu tena...

 

STAR WA DISNEY CHANNEL.. MILEY CYRUS AU MAARUFU KWA JINA LA HANNA MONTANA AMEFUNGUKA KUWA HUU MUONEKANO WAKE MPYA WA NYWELE FUPI ATADUMU NAO KWA MUDA MREFU NA HANA MPANGO WA KUWEKA NYWELE NDEFU.. ANASEMA MPENZI WAKE ANAZIPENDA NYWELE FUPI NA ANAONA HAZIMPI UZITO.... KAMA NDUGU YANGU U DONT LIKE IT NA WEWE NI FAN WAKE JITAHIDI KUZIPENDA MAANA HANA PLAN YA NYWELE NDEFU ANYTIME SOON.
Previous
Next Post »