LAKELAND AFRICA WADHAMINI UTALII WA NDANI , MISS UTALII TANZANIA 2012/13

 

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wamewasili BAraza la Michezo Tanzania ( BASATA) kwa ajili ya uzinduzi wa safari yao kuelekea Bagamoyo

Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo.

Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania Pamoja na washiriki wengine wakikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa safari ya Kitalii Bagamoyo.

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa katika moja ya Kaburi maarufu la Wapendanao.

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wamewasili Bagamoyo

Washiriki wa Miss utalii Tanzania wakiwa katika jengo la Ngome kongwe Bagamoyo

Previous
Next Post »